Benki

Maendeleo Benki Plc

1/5.0 - Imepata 0 Maoni
5 Nyota
4 Nyota
3 Nyota
2 Nyota
1 Nyota

Maendeleo Benki Plc

Maendeleo Bank Plc ni benki ya biashara iliyoanzishwa mwaka 2011 na kuanza rasmi kutoa huduma mwaka 2013. Makao makuu yake yapo Dar es Salaam, na inaendesha shughuli zake kupitia matawi na teknolojia ya kidigitali. Lengo kuu la benki hii ni kutoa huduma za kifedha kwa watu binafsi, vikundi vya kijamii, taasisi za kidini, biashara ndogo, na mashirika. Inazingatia utoaji wa huduma jumuishi za kifedha kwa wateja wa kada mbalimbali.

Tovuti
https://maendeleobank.co.tz

Barua pepe
[email protected]

Simu
+255 800750089

Sign In