Suzuki
Suzuki Motor Corporation ni kampuni kutoka Japan inayojihusisha na utengenezaji wa magari, pikipiki, injini ndogo na mashine nyingine ndogo za viwandani. Kampuni hii imekuwepo kwa miongo mingi na inasambaza bidhaa zake duniani kote, ikiwemo Tanzania. Suzuki inatambulika hasa kwa magari madogo, ya gharama nafuu na yanayotumia mafuta kwa ufanisi
Tovuti
www.suzuki-tanzania.com
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 222861040