Elimu

Feza Schools

1/5.0 - Imepata 0 Maoni
5 Nyota
4 Nyota
3 Nyota
2 Nyota
1 Nyota

Feza Schools

Feza Schools ni taasisi ya elimu inayotoa huduma za kielimu kwa ngazi ya awali (chekechea), msingi, na sekondari. Shule hizi zipo jijini Dar es Salaam na zinatoa elimu kwa mujibu wa mtaala wa Tanzania, kwa lugha ya Kiingereza kama lugha ya kufundishia. Pia shule ina mfumo wa "boarding" na "day school".

Tovuti
https://fezaschools.org/feza-boys/

Barua pepe
[email protected]

Simu
+255 712339235

Sign In