Elimu

University of Dodoma (UDOM)

1/5.0 - Imepata 0 Maoni
5 Nyota
4 Nyota
3 Nyota
2 Nyota
1 Nyota

University of Dodoma (UDOM)

University of Dodoma ni chuo kikuu cha umma kilichopo Dodoma, kilianzishwa rasmi mwaka 2007 na kilianza kutoa kozi mwaka 2007 pia Kina vyuo (colleges) saba na shule maalum, ikijumuisha Sayansi, Uhandisi, Biashara & Sheria, Afya, Elimu, Jamii na TEHAMA . Kampasi kuu iko eneo la Chimwaga.

Tovuti
https://www.udom.ac.tz/

Barua pepe
[email protected]

Simu
+255 262310003

Sign In