Vunja Bei
Vunjabei (T) Group Limited ni kampuni ya Afrika Mashariki yenye makao yake makuu jijini Dar es Salaam, Tanzania. Wanajihusisha na usambazaji, uuzaji wa rejareja na jumla wa mavazi ya aina mbalimbali: ya kawaida (casual), rasmi (official), michezo (sportswear), na bidhaa nyinginezo kwa watu wazima, vijana, na watoto
Tovuti
https://vunjabeigroup.com/contact-us/
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 756371156