Softcare
Softcare Tanzania ni kampuni inayojihusisha na uzalishaji na usambazaji wa bidhaa za usafi wa kibinafsi. Miongoni mwa bidhaa zake kuu ni diapers za watoto, suruali za watoto (baby pants), pedi za usafi kwa wanawake, na wet wipes.
Tovuti
https://www.softcare.africa/
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 746214885