Maisha Supermarket
Maisha Supermarket ni duka la reja reja la vyakula lililopo city mall kwenye kona ya mitaa ya Bibi titi na Morogoro, katikati ya wilaya ya Biashara ya Dar es salaam.
Tovuti
https://www.maishasupermarket.co.tz/
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 746000077