Ushauri wa Kisheria (Legal Consultancy)
Wanatoa ushauri wa kisheria kwa wateja binafsi na wa kibiashara kuhusu haki, wajibu, mikataba, madai na ulinzi wa mali.
Wanatoa ushauri wa kisheria kwa wateja binafsi na wa kibiashara kuhusu haki, wajibu, mikataba, madai na ulinzi wa mali
Hutoa huduma ya kuandika, kupitia na kushauri mikataba ya biashara, ajira, usambazaji, uwekezaji, na mingine mingi ili kuhakikisha inalinda maslahi ya mteja.
Uwawakilishi Mahakamani (Litigation & Court Representation)
Wanawatetea wateja wao mahakamani kwenye kesi za madai, jinai, migogoro ya kazi, migogoro ya mali au biashara.
Usuluhishi na Upatanisho (Arbitration & Mediation)
Wanatoa huduma za kutatua migogoro nje ya mahakama kwa njia ya usuluhishi au upatanisho ili kuokoa muda na gharama.
Sheria za Biashara na Makampuni (Corporate & Commercial Law)
Wanatoa msaada wa kisheria kwa makampuni kuhusu usajili, usimamizi wa kampuni, mabadiliko ya umiliki, na masuala mengine ya kisheria yanayohusu biashara
Sheria za Ajira na Kazi (Employment & Labour Law)
Wanashauri waajiri na wafanyakazi kuhusu haki zao, mikataba ya ajira, uamuzi wa migogoro kazini, na uwakilishi kwenye mabaraza ya kazi.
Usajili wa Mirathi, Ndoa na Nyaraka Muhimu (Probate, Marriage & Notarial Services)
Wanasaidia kuandaa na kuthibitisha wasia, kushughulikia mirathi, ndoa za kisheria na kutoa huduma za notary public (kama kuthibitisha nyaraka).
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoABC Attorneys
ABC Attorneys ni kampuni ya sheria inayotoa huduma mbalimbali za kisheria kwa watu binafsi, makampuni, mashirika na taasisi nchini Tanzania. Wanatoa msaada wa kitaalamu unaohusiana na masuala ya sheria, biashara, migogoro, na usuluhishi.
Tovuti
https://abcattorneys.co.tz
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 222110800