Miradi ya Reli za SGR (Standard Gauge Rail Infrastructure)
Yapi Merkezi Wanatengeneza Miradi mikubwa kama vile reli za SGR, ni reli iliyotengenezwa kisasa (material za reli, stesheni za abiria, vituo vya mizigo na miundombinu ya kisasa kwa ajiri ya Treni za kutumia Umeme).
Ujenzi wa Miundombinu Mikubwa (Bridges, Tunnels, Viaducts)
Yapı Merkezi hutoa bidhaa za ujenzi wa miundo sugu ya daraja, tunnels, na miundo ya jeshi la mji mikubwa.
Majengo Makubwa na Kituo cha Usafiri
Kutoka kwenye reli hadi madaraja, kampuni pia imeshughulikia ujenzi wa vituo vikubwa, ofisi, majengo ya biashara na huduma za umma katika nchi kadhaa
Ujenzi wa Reli za Kisasa (Standard Gauge Railways - SGR)
Yapı Merkezi imepewa kandarasi ya kujenga sehemu mbalimbali za Reli ya Kisasa (SGR) nchini Tanzania, ikijumuisha Dar es Salaam–Morogoro, Morogoro–Makutupora, Tabora–Isaka, na Mpango wa kuunganisha kwenda Mwanza. Huduma ni pamoja na muundo, usakinishaji wa reli, stesheni za abiria
Ubunifu na Ujenzi wa Miundombinu Mikubwa
Kampuni ya yapi Merkezi inajenga madaraja, njia za chini (tunnels), na miundomingine mingi, Pia imefanya ujenzi wa miundombinu ya majengo ya umma na biashara katika maeneo mbalimbali
Ushauri na Uendeshaji wa Miradi (Design & Project Management)
Huduma hizi zinajumuisha ushauri wa kitaalamu, usimamizi wa mradi, na kuhakikisha utekelezaji unafanyika ndani ya bajeti, vigezo vya kiufundi, na kwa muda uliopangwa katika mradi fulani wa yapi merkezi
Kusimamia Miradi ya Ujenzi kwa Mfumo wa BOT (Build-Operate-Transfer)
Yapı Merkezi huwa mstari wa mbele katika kutekeleza miradi chini ya ushirikiano wa BOT, ikiwemo reli na mifumo ya usafiri wa umma nchini Uturuki na nyinginezo duniani.
Mafunzo na Uendelezaji wa Watendaji wa Ujenzi
Kampuni ina programu za kuboresha ujuzi na elimu ya kitaaluma kwa watumishi wake wa ujenzi na mbao, pamoja na taasisi zinazohusiana na miundombinu
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoYapi Merkezi
Yapı Merkezi ni kampuni ya Uturuki iliyoanzishwa mwaka 1965, inayojishughulisha na utekelezaji wa miradi kubwa ya ujenzi, hasa reli, madaraja, miundombinu ya usafiri na majengo makubwa
Tovuti
https://yapimerkezi.com.tr/En/Main-Page
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 222164200