Ujenzi wa Minara ya Mawasiliano
Wanatoa huduma ya Kujenga minara mipya kwa ajili ya watoa huduma za mawasiliano kama vile mitandao ya simu.
Matengenezo ya Miundombinu ya Minara
Wanahusika sana na Kutoa huduma za ukarabati na uboreshaji wa minara iliyopo.
Upimaji na Utafiti wa Mahali pa Minara (Site Acquisition & Survey)
Wanatoa Huduma ya Kupima na kuchagua maeneo yanayofaa kwa ajili ya ujenzi wa minara
Huduma za Kiufundi na Ushauri
Wanatoa Ushauri wa kiufundi kuhusu usanifu wa minara, usalama wa miundombinu, na mahitaji ya kiteknolojia.
Huduma za Ufungaji wa Mfumo wa Nguvu za Umeme (Power Systems Installation)
Kusambaza na kufunga backup power systems kama generator, solar panels, na battery banks kwa ajili ya uendeshaji wa minara bila shida ya umeme.
Huduma za Ulinzi wa Minara (Tower Security Services)
Kuweka vifaa vya usalama kama CCTV, sensors, na kufunga uzio au walinzi kwa ajili ya kulinda minara dhidi ya uharibifu au wizi.
Usafirishaji na Ufungaji wa Vifaa vya Mawasiliano
Huduma ya kupeleka na kufunga vifaa vya kiufundi vya mitandao kutoka ghala hadi eneo la mnara.
Huduma za Ruhusa na Uzingatiaji wa Sheria (Regulatory Compliance & Permitting)
Kuratibu upatikanaji wa vibali kutoka serikali za mitaa, NEMC, TCRA, au mamlaka zingine kwa ajili ya ujenzi wa minara.
Usaidizi wa Kiufundi (Technical Support)
Timu maalum inayoshughulikia changamoto za kiufundi kama kukatika kwa huduma, hitilafu za kifaa, au usumbufu wa mawasiliano.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoMinara Tanzania Limited
Minara Tanzania Limited ni mtoa huduma huru anayeongoza wa miundombinu ya mawasiliano bila waya nchini Tanzania, inayofanya kazi zaidi ya tovuti 1,600 nchini kote. Imeanzishwa kama ubia kati ya SBA Communications na Paradigm Infrastructure, Minara inatoa huduma ikijumuisha ujenzi wa minara, uwekaji upyaji na suluhisho za nishati ili kusaidia waendeshaji wa mtandao wa simu katika kuboresha huduma na uwezo. Kampuni imejitolea kupanua mawasiliano kote Tanzania, kuwekeza katika suluhu za nishati ya kijani, na kushirikiana na mashirika kama UNESCO kusaidia huduma za redio za jamii.
Tovuti
https://minara.co.tz/
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 748771900