Kunyoa Nywele kwa Mitindo Mbalimbali
Wanatoa huduma ya kunyoa nywele kwa staili tofauti zinazovuma kama fade, low cut, bald, afro, na nyingine, kwa kuzingatia maelekezo ya mteja.
Kutengeneza na Kuunda Ndevu (Beard Styling)
Huduma ya kutrim ndevu, kuzipangilia, na kuzipaka mafuta maalum kwa muonekano nadhifu.
Kuweka Rangi (Hair & Beard Dyeing)
Kwa wateja wanaotaka kupaka dye kwa nywele au ndevu – iwe ni kuficha mvi au kubadilisha muonekano.
Kusafisha Uso (Facial Treatment)
Huduma ya uso kama steaming, exfoliation, cleansing, na maski za uso kusaidia ngozi kuwa safi na yenye afya.
Huduma ya Massage
Wanatoa Huduma ya massage ili kuweka mwili sawa.
Huduma kwa Miadi (Appointments)
Wateja wanaweza kupanga miadi ili kuepuka kusubiri kwa muda mrefu.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoCutting Master Barbershop
Cutting Master Barbershop ni kinyozi wa kisasa unaotoa huduma mbalimbali za utunzaji wa nywele, ndevu kwa wanaume. Barbershop hii inalenga wateja wa rika mbalimbali na imejipanga kutoa huduma kwa ustadi na uangalifu katika mazingira safi na ya kisasa.
Tovuti
https://instagram.com/cutting_master_barbershop
Barua pepe
NA
Simu
+255 714757882