Kunyoa Nywele kwa Mitindo ya Kisasa
Merhas Barbershop hunyoa nywele kwa staili mbalimbali kama fade, afro, low cut, undercut, na classic cut, kulingana na matakwa ya mteja
utengeneza Ndevu (Beard Trimming & Styling)
Hutoa huduma ya kutrim, kupangilia, na kusafisha ndevu kwa kutumia mashine na vifaa salama kwa ngozi.
Facial na Huduma ya Ngozi
Kusafisha uso (facial cleansing), steaming, na exfoliation kusaidia ngozi kuwa laini, yenye afya, na kuondoa mafuta na uchafu.
Huduma ya Massage
Massage fupi kwa kichwa, bega, na shingo baada ya kunyoa kusaidia kupunguza msongo wa misuli
Huduma ya kunyoa kwa Watoto
Kinyozi pia huwanyoa watoto kwa uangalifu na kwa mtindo wa kuvutia.
Kupaka Rangi (Dye)
Wanaume wanaohitaji kubadilisha rangi ya nywele au kuficha mvi hupata huduma ya dye salama kwa nywele au ndevu.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoMerhas Barbershop
Merhas Barbershop ni kinyozi wa kisasa unaopatikana jijini Dar es Salaam, unaotoa huduma za kunyoa na kutunza nywele, ndevu, na ngozi kwa wanaume wa rika na mitindo mbalimbali. Kinyozi huu umejipambanua kwa kutumia vifaa vya kisasa na kutoa huduma kwa njia ya kitaalamu kwa kuzingatia usafi, ustaarabu kwa ajiri ya mteja.
Tovuti
https://www.instagram.com/merhas.barbershop/
Barua pepe
NA
Simu
+255 758464860