Ladiva Barbershop
Ladiva Barbershop ni kinyozi unaotoa huduma mbalimbali za urembo na utunzaji wa nywele, ndevu, na ngozi kwa wanaume na watoto na imejikita katika utoaji wa huduma kwa kutumia vifaa vya kisasa na mbinu za kitaalamu.
Tovuti
https://www.facebook.com/profile.php?id=100063753151483
Barua pepe
NA
Simu
+255 766211520