Module na E-Books za Mafunzo
Wazoefu Wanatoa Vitabu vya kidijitali na moduli zinazomsaidia mwanafunzi kujifunza hata akiwa nyumbani.
Programu ya Mafunzo Mtandaoni
Wazoefu Wanatoa Jukwaa au mfumo wa kujifunzia mtandaoni (online learning portal) kwa wanafunzi wa mbali.
Mafunzo ya Kompyuta
Wazoefu wanatoa Mafunzo ya ujuzi wa awali kama Microsoft Office (Word, Excel, PowerPoint), kutumia internet, na misingi ya uendeshaji wa kompyuta.
Mafunzo ya Programu na Coding
Wazoefu hua wanatoa huduma ya kujifunza lugha za programu kama HTML, CSS, JavaScript, Python na nyingine, kwa wanaoanza na walio katika hatua ya kati
Mafunzo ya Graphic Design na Video Editing
Hutoa Mafunzo ya kutumia programu kama Adobe Photoshop, Illustrator, Premiere Pro kwa ajili ya kubuni michoro, matangazo, na video.
Mafunzo ya Data Analysis na Excel Advanced
Hufundisha namna ya kuchakata takwimu, kuandaa ripoti na kutumia Microsoft Excel, Power BI na Google Sheets.
Mafunzo ya Digital Marketing
Mafunzo ya kutumia mitandao ya kijamii, matangazo ya Google, na mbinu nyingine za kidijitali kufikia wateja na kukuza biashara mtandaoni.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoWazoefu Technology
Wazoefu Technology ni kampuni ya Tanzania inayojikita katika kutoa mafunzo ya teknolojia ya habari na huduma zinazosaidia kukuza ujuzi wa kidijitali kwa vijana, wanafunzi na watu wanaotaka kuingia kwenye sekta ya ICT.
Tovuti
https://wazoefu.com/?utm_source=Tech-Behemoths&utm_medium=Profile&utm_campaign=viewprofile
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 745940205