Mafunzo ya Kutengeneza Tovuti (Web Design & Development)
Mafunzo ya kutumia HTML, CSS, JavaScript, PHP, WordPress na Laravel kwa ajili ya kutengeneza na kusimamia tovuti.
Mafunzo ya Graphic Design
Kozi za kubuni michoro ya matangazo, nembo (logo), mabango, na machapisho kwa kutumia Adobe Photoshop, Illustrator, CorelDRAW n.k.
Mafunzo ya Digital Marketing
Kujifunza kuhusu SEO, matumizi ya mitandao ya kijamii kwa biashara (Social Media Marketing), Google Ads, na Email Marketing
Mafunzo ya E-Commerce Development
Wanatoa Kozi za kujifunza jinsi ya kuanzisha na kuendesha maduka ya mtandaoni kwa kutumia majukwaa kama WooCommerce au Shopify.
Mafunzo ya Mobile App Development
Wanatoa Mafunzo ya kutengeneza app za simu kwa kutumia Flutter, React Native au Java/Kotlin.
Miongozo na E-books za Mafunzo
Wanatoa Vifurushi vya mafunzo katika mfumo wa PDF au e-books vinavyosaidia wanafunzi kujifunza bila kuwa darasani.
Support Tools kwa Wanafunzi
Hutoa Files za mazoezi, code snippets, video tutorials, na guides za hatua kwa hatua kusaidia wanafunzi kuelewa somo kwa vitendo.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoWeb Experts Tanzania
Web Experts Tanzania ni kampuni ya teknolojia iliyoanzishwa kwa lengo la kutoa huduma za kimtandao na mafunzo ya kitaalamu katika nyanja za teknolojia ya habari (ICT), hasa kwa vijana na wataalamu wanaotaka kuongeza ujuzi wao katika sekta ya kidijitali.
Tovuti
https://webexperts.co.tz/index.php
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 766632744