Nguo za Mtoko wa Jioni
Flourish Boutique Tz wanatoa Mavazi rasmi kwa sherehe na hafla maalum pia kuna Gauni refu za usiku (Evening Dresses), si viho tu pia kuna Party Dresses za aina tofauti tofauti
Nguo za Ofisini
Flourishing Boutique Tz Mavazi ya heshima na hadhi kwa matumizi ya kazini/ofisini
Loose Dresses & Jumpsuits
Nguo huru na zenye starehe kwa matumizi ya kila siku au mitoko ya kawaida.
Magauni ya Sherehe
Flourish Boutique TZ inatoa chaguo mbalimbali za magauni ya sherehe . Magauni haya yanafaa kwa hafla tofauti kama harusi, send-off, birthdays, na usiku wa shughuli rasmi
Viatu vya Kike
Wanatoa mkusanyiko wa viatu vya kike vinavyokidhi mahitaji ya mitoko, ofisini, au hafla maalum. Aina ya viatu ni pamoja na heels, sandals, flats, na viatu vya kisasa vya starehe.
Ushauri kwa Wateja (Styling Assistance)
Timu yetu inakusaidia kuchagua mavazi yanayokufaa kwa tukio lolote.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoFlourish Boutique Tz
Flourish Boutique TZ ni duka la mavazi ya wanawake linalojulikana kwa kuuza nguo za kipekee, za kisasa na za mitindo tofauti. Wananatoa mavazi yanayokidhi mahitaji ya hafla mbalimbali – iwe ni sherehe, ofisini au matumizi ya kila siku
Tovuti
https://www.instagram.com/flourishboutiquetz
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 762222683