Suruali za Vitambaa
Suruali rasmi na nadhifu zinazofaa kwa shughuli za kazini, vikao, au mitoko ya heshima. Zinapatikana kwa rangi na miundo tofauti ili kuendana na ladha ya mteja.
Suruali za Jeans
Mr Chambuu hutoa Suruali za Jeans za miundo mbalimbali kwa mitoko ya kawaida au ya kijanja.
Mashati ya Kiume
Wanatoa Mashati ya mtindo mbalimbali , Mashati ya mikono mirefu au mifupi, ya kuvaa kazini au kwa mitoko ya kawaida.
Bukta za Kiume
Bukta fupi kwa matumizi ya kawaida, mitoko ya mchana au kwa mazingira ya kupumzika. Zimetengenezwa kwa vitambaa laini na vyenye kudumu.
Boksa (Nguo za ndani)
Wanauza Nguo za ndani za wanaume zinazofaa kwa matumizi ya kila siku. nguo hizi zipo cotton na material mbalimbali kulingana na chaguo la mteja.
Nguo za Mazoezi
Mr. Chambuu wanauza nguo za mazoezi zinazokidhi mahitaji ya msingi kwa yeyote anayejiwekea utaratibu wa kufanya mazoezi
Ushauri wa Muonekano (Men’s Styling Tips)
Mr Chambuu Wanamsaidia mteja kuchagua mavazi yanayomfaa kulingana na tukio au mtindo anaojaribu kuupata
Huduma kwa Wateja wa Mikoani
Mr Chambuu wanatoa Huduma ya Kutuma bidhaa kwa wateja waliopo nje ya mkoa
Oda Maalum za mavazi
Mr Chambuu Wanatoa huduma Kwa mteja anayetaka mavazi maalum kwa hafla au vipimo vyake binafsi.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoMr.Chambuu - Nguo za Kiume
Mr. Chambuu ni duka la mavazi ya wanaume linalotoa nguo bora za kisasa kwa ajili ya matumizi ya kila siku, mitoko, na hafla maalum
Tovuti
https://www.instagram.com/mrchambuu
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 653228222