Suti za Kiume na Kike
Suti rasmi kwa wanaume na wanawake kwa matumizi ya ofisini, mikutano, harusi au hafla za kifahari. Zipo za rangi na mitindo mbalimbali, zikiwemo two-piece na three-piece
Mashati ya Kisasa
Tunauza mashati ya wanaume yenye mitindo ya kisasa kwa ajili ya ofisi, mitoko ya kawaida au ya heshima. Mashati haya yanapatikana kwa rangi na miundo tofauti
Gauni za Wanawake
Gauni za sherehe, send-off, dinner au mitoko rasmi kwa wanawake. Wanazingatia muundo wa kipekee na mvuto wa kike unaoendana na hafla husika.
Sketi na Suruali Rasmi za Kike
Kwa matumizi ya kazini au hafla, sketi na suruali zenye kukaa vizuri na kuvutia zinapatikana kulingana na saizi na muundo unaopendelewa.
Ushauri wa Mavazi (Styling Advice)
Wana Tuna timu ya washauri wanaosaidia kuchagua mavazi yanayokufaa kulingana na tukio, umbo na mtindo wako wa maisha
Maagizo Maalum (Custom-Made Orders)
Wanatoa huduma ya mavazi kwa vipimo vya mteja kwa muundo anaotaka
Huduma kwa Mikoani
Wananatuma mavazi kwa wateja waliopo mikoani kwa njia salama na ya haraka kupitia huduma za usafirishaji wa haraka
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoRoyal Fashion Tanzania
Royal Fashion Tanzania ni duka la mavazi linalojulikana kwa kuuza nguo zinazokidhi mahitaji kwa wanaume na wanawake
Tovuti
www.royalfashiontz.blogspot.com
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 654700661