Viti vya Saluni (Salon Chairs)
Wanauza Viti maalum kwa ajili ya saluni za wanaume na wanawake – vikiwemo barber chairs, styling chairs, na shampoo chairs
Mashine za Kusuka, Kunyolea na Kuweka Dawa
Wanauza Mashine za kisasa kama hair dryers, steamers, clippers, flat irons, curling machines, na vifaa vya kuweka dawa ya nywele kwa ufanisi na usalama.
Vifaa vya Facial na SPA
Wanauza Vifaa vya huduma za uso kama facial steamers, magnifying lamps, massage beds, na vifaa vingine vya kusaidia huduma za ngozi katika saluni.
Shelf & Trolley za Saluni
Wanauza Shelfu za kuhifadhia vifaa na trolley zinazorahisisha kazi ya kusogeza na kupanga vifaa wakati wa huduma kwa wateja
Mirror Sets na Workstations
Wanauza Meza na vioo vya kisasa kwa ajili ya maeneo ya kutengeneza nywele, makeup, au shaving.
Vifaa vya kusafishia na vitambaa
Vifaa kama sterilizers, disinfectant jars, capes, aprons, towels, na gloves – vyote kwa ajili ya kuhakikisha usafi na afya ya mazingira ya saluni.
Ushauri wa Kitaalamu kwa Wanunuzi wa Vifaa vya Saluni
Radium hutoa ushauri wa kitaalamu kwa wateja wanaoanzisha au kuboresha saluni zao. Wateja hupata msaada katika kuchagua vifaa vinavyofaa kulingana na ukubwa wa biashara, aina ya huduma zinazotolewa, na bajeti yao
Ufungaji na Uwekaji wa Vifaa (Installation Services)
Huduma ya usaidizi wa ufungaji wa vifaa vikubwa kama viti vya barber, meza za massage, steamers na vifaa vya umeme kwa usalama na mpangilio mzuri wa ndani ya saluni
Usafirishaji wa Bidhaa Mikoani
adium husafirisha vifaa vya saluni kwenda maeneo mbalimbali ya Tanzania.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoRadium Salon Equipments-Saluni za Kike na Kiume
Radium Salon Equipments ni wauzaji wa vifaa vya kisasa kwa ajili ya saluni za kike na kiume, wakitoa suluhisho kamili kwa wenye saluni na wanaoanzisha biashara ya urembo
Tovuti
Instagram:radiumsalonequipments
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 713249099