Chupa ya 500 ml (nusu lita)
Inafaa kwa matumizi ya mtu mmoja kwa muda mfupi au kubeba njiani.
Chupa ya 1 Lita
Chaguo bora kwa mtu mmoja au wawili kwa matumizi ya muda mrefu kidogo.
Chupa ya 1.5 Lita
Inatosha kwa watu 2–3, kawaida hutumika nyumbani au ofisini.
Usambazaji wa Maji kwa Rejareja na Jumla
Wateja wanaweza kununua maji kupitia maduka makubwa, supermarkets, mawakala wa mitaani, au kupitia wauzaji wa jumla walioko karibu nao.
Huduma kwa Taasisi na Hafla Maalum
Kampuni husambaza maji kwa hafla kama semina, mikutano, harusi, na makampuni yenye mahitaji ya mara kwa mara.
Huduma ya Oda Maalum kwa Kampuni/Ofisi
Wateja wa ofisi huweza kuingia mikataba ya usambazaji wa maji kwa ratiba ya kila wiki au mwezi.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoMaji ya Kilimanjaro
Maji ya Kilimanjaro ni maji ya kunywa yaliyotibiwa na kufungwa kiwandani yanayozalishwa na Coca-Cola Kwanza Ltd hapa Tanzania. Maji haya yamekuwa maarufu katika soko la ndani kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, taasisi mbalimbali pamoja na hafla.
Tovuti
https://www.tranquilkilimanjaro.com/mount-kilimanjaro-drinking-water
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 753396210