Vinywaji

Azam Bevarage

0/5.0 - Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Azam Bevarage

Azam Beverages ni sehemu ya Bakhresa Food Products Ltd, kampuni inayomilikiwa na Bakhresa Group ya Tanzania. Azam Beverages inajivunia kuwa mzalishaji na msambazaji wa vinywaji mbalimbali vya baridi, ikiwa ni pamoja na soda, juisi za matunda, vinywaji vya nishati, na bidhaa za asili kama vile ice cream

Tovuti
https://bakhresa.com/beverages

Barua pepe
[email protected]

Simu
+255 222861116

Sign In