Dew Drop Water
Dew Drop Water Company ni kampuni inayojishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa maji safi ya kunywa yaliyotengenezwa kwa kuzingatia viwango vya ubora na usalama wa kiafya. Wanatoa huduma na bidhaa mbalimbali kulingana na mahitaji ya wateja wa majumbani, taasisi, ofisi na mashirika. Hapa chini ni maelezo ya huduma na bidhaa wanazotoa
Tovuti
https://dewdroptz.com/contact-us
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 776222229