Makeup kwa Maharusi (Bridal Makeup)
Huduma ya kipekee kwa bibi harusi inayojumuisha makeup inayodumu, inayopendeza mbele ya kamera, na inayofaa mavazi ya harusi (ya kisasa au ya kitamaduni).
Makeup kwa Hafla Maalum:
Kupamba kwa ajili ya matukio kama send-off, kitchen party, birthdays, na anniversaries. Makeup inalandana na mandhari ya tukio na mavazi ya mteja
Makeup ya Kawaida (Everyday/Soft Glam)
Wanatoa Huduma kwa muonekano wa asili na wa kuvutia kwa matumizi ya kila siku, ofisini, au mitoko ya kawaida
Photoshoot & Video Makeup
Makeup maalum kwa ajili ya picha za studio, matangazo, au video, inayosisitiza mvuto wa sura mbele ya kamera na mwanga
Makeup Training
Topfairy Makeup pia hutoa mafunzo ya kupaka makeup kwa wanawake wanaotaka kujifunza kujipamba au kuwa watalamu wa fani hiyo
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoTopfairy Makeup
Topfairy Makeup ni duka linalojihusisha na urembo kwa wanawake warika zote
Tovuti
https://www.instagram.com/topfairy_makeup/
Barua pepe
Hairstyle@mirabhair
Simu
+255 652769748