Kumbi za Starehe

Celebrity Club

0/5.0 - Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Celebrity Club

Celebrity Night Club ni moja kati ya maeneo maarufu ya burudani jijini Dar es Salaam, hasa kwa wapenzi wa maisha ya usiku. Iko Mikocheni, ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, katika Mkoa wa Dar es Salaam. Eneo halisi ni kwa Nyerere. Celebrity Night Club ni mahali ambapo watu hukutana kwa burudani, vinywaji, muziki wa moja kwa moja (live music), na DJ’s wenye uwezo wa kuamsha hisia.

Tovuti
https://www.instagram.com/celebrityclub_tz/reel/C0W3zWdtodb/

Barua pepe
celebrityclub@celebrityclubtz

Simu
+255 749900906

Sign In