Kumbi za Starehe

Kitambaa Cheupe

0/5.0 - Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Kitambaa Cheupe

Kitambaa Cheupe ni eneo la burudani linalopatikana katika maeneo ya Sinza, na Tabata jijini Dar es Salaam. Ni sehemu maarufu kwa wapenzi wa starehe, ikijulikana kwa kutoa huduma mbalimbali kulingana na aina ya wageni wanaohudhuria. sehemu hii hujumuisha burudani kwa kila mtazamaji – iwe unapendelea vinywaji laini (soft drinks), muziki wa zamani (oldies), singeli ya nguvu, au maonyesho ya muziki wa moja kwa moja (live music shows), kila mtu ana nafasi yake ya kufurahia.

Tovuti
https://www.instagram.com/kitambaacheupe/?hl=en

Barua pepe
tz@kitambaacheupe

Simu
+255 652365994

Sign In