Eneo la Michezo (Arena & Sports Viewing)
Kuna maeneo maalum ya michezo mbalimbali kama vile ndondi na pia kuna eneo ambalo watu wanaweza kufatilia kichezo kupitia screen kubwa Watu hukusanyika kwa pamoja kushuhudia matukio ya michezo mubashara.
Matamasha na Maonyesho ya Moja kwa Moja
Ukumbi hutumika kwa matamasha ya muziki, maonyesho ya wasanii wa ndani na wa kimataifa, pamoja na usiku wa burudani na DJs. Matukio haya hufanyika mara kwa mara, hasa mwishoni mwa wiki.
Huduma ya Vinywaji na Baa
Kuna baa iliyo na vinywaji mbalimbali, kama vile vinywaji baridi, bia, pombe kali, hadi cocktails.
Huduma ya Chakula
Kuna menyu ya vyakula mbalimbali, kutoka vitafunwa hadi vyakula kamili vinavyopatikana kulingana na ratiba ya ukumbi.
Wi-Fi Bila Malipo
Wateja waliopo ndani ya eneo la ukumbi wanaweza kutumia huduma ya intaneti bila malipo (free Wi-Fi), kwa shughuli za mawasiliano au mitandao ya kijamii
Maegesho na Usalama
Ukumbi una sehemu ya maegesho kwa ajili ya wateja na ulinzi wa kutosha kwa wageni wote wanaohudhuria matukio.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoThe Next Door Masaki
The Next Door ni ukumbi wa kisasa uliopo Masaki, Dar es Salaam, katika barabara ya Haile Selassie. Ukumbi huu umejipambanua kama sehemu ya mikusanyiko ya kijamii na burudani, ukiwa umejengwa kwa mtazamo wa kuunganisha michezo, muziki na mapumziko katika sehemu moja. Ni sehemu inayotumika kama uwanja wa michezo midogo (arena), jukwaa la matukio ya moja kwa moja, na pia ukumbi wa starehe.
Tovuti
https://www.instagram.com/nextdoor_arena_masaki/
Barua pepe
[email protected]
Simu
NA