Kumbi za Starehe

Club Bilicanas

0/5.0 - Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Club Bilicanas

Club Bilicanas ni moja ya kumbi za burudani kongwe na zenye historia ndefu nchini Tanzania. inapatikana kwenye Mkwepu na Makunganya Street, katikati ya jiji la Dar es Salaam Ukumbi huu ni sehemu maarufu ya mikusanyiko ya usiku, ukihudumia wageni wa rika na makundi mbalimbali.

Tovuti
https://www.instagram.com/explore/locations/459546628/club-bilicanas/?hl=en

Barua pepe
[email protected]

Simu
+255 652849922

Sign In