Kukukuku restaurant tips
Kuku Kuku ni mgahawa uliopo Dar es Salaam, Tanzania ambao hutoa chakula cha kuku wa kienyeji. Wengine wanasema ni mahali pazuri pa kuku wa kienyeji. Mahali Kuku Kuku ina tawi la Mlimani City Mall Kuku Kuku pia inajengwa Dar Kijijini - Mikocheni
Tovuti
https://www.instagram.com/kukukuku_tz/?hl=en
Barua pepe
located@mlimanicitymall
Simu
+255 673686814