Sherehe Zote za Kijamii (Social Events)
Ukumbi unaweza kutumika kwa hafla za familia au marafiki, kama vile sherehe ndogo za familia au mikutano ya kijamii.
Harusi na Sendoff
Ukumbi hutoa nafasi kwa harusi, sendoff parties, au hafla zinazohusiana na kuandaa au kusherehekea kuanza kwa maisha mapya ya wanandoa.
Mikutano ya Kibiashara (Corporate Event)
Ukumbi unaweza kutumika kwa mikutano ya wafanyakazi, mafunzo ya kampuni, au matukio mengine ya biashara.
Sherehe za Kuhitimu (Graduation)
Ukumbi unaweza kubeba hafla za kuhitimu, ambapo watu hukusanyika kushuhudia matokeo ya elimu ya wengine.
Mikutano ya Kidini (Religion Congress):
Ukumbi unaweza pia kutumika kwa mikutano ya kidini au kongamano, ambapo watu hukusanyika kwa shughuli za kidini
Hakuna Huduma Inayopatikana
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni Yako