Rating
Tags
Distance
Basi- Bora App
Basi Bora App ni mfumo wa kidigitali unaolenga kurahisisha huduma za usafiri wa mabasi nchini Tanzania. Kupitia app hii wateja wanaweza kupata huduma ya kukata tiketi mtandao na kusafiri kwa basi wanalopenda
KIDIA ONE EXPRESS
Kidia One Express ni kampuni inayosafirisha watu kwa njia ya basi na mizigo kwa njia ya maroli nchini Tanzania
Chakaby Luxury
Chakaby Luxury Bus Service ni kampuni ya usafirishaji wa watu na bidhaa inayotoa huduma za usafiri wa barabara kwa kutumia mabasi ya kisasa. Kampuni hii inatoa safari kati ya miji mbalimbali nchini Tanzania, ikiwemo Dar es Salaam, Dodoma, Singida, Sh...
Shabiby Bus Company
Ni Kampuni ya huduma za usafirishaji ambayo hutoa huduma zake kwa watu mbalimbali kuwasafirisha na kusafirisha mizigo kwenda mikoa mbalimbali ndani ya Tanzania
Abood Bus Service
Abood Bus Service Limited ni kampuni ya usafiri wa abiria na mizigo yenye makao makuu Morogoro, Tanzania. Ilianzishwa mwaka 1986, na ni mojawapo ya makampuni makubwa zaidi ya kusafirisha watu barabarani nchini .
Azam Marine
ni kampuni ya kusafirishia abiria na mizigo kwa njia ya bahari chini yaKampuni ya Bakhresa nchini Tanzania. Inatoa huduma za kusafirisha abiria pamoja na mizingo kupitia bahari, Zanzibar na Tanzania bara
Air Tanzania Company Limited
mwendeshaji wa abiria na mizigo, likiwa na makao makuu Dar es Salaam na kituo chake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere