mita za bomba
Inatolewa na Dawasco house,Maji-Umma
Tunakokwenda ni Pre paid ili upate maji sasa utashangaa mita za upepo zikitumika unalipia upepo sio maji kama vile tunavyoibiwa Bundle kwenye Tigo/Yas ,Voda na Airtel. Miradi ya maji iliyofanikishwa na serikali imepunguza gharama zilizokuwa zikitumika kununua maji au bei za juu zilizokua zikiwekwa na wafanyabiashara wa maji