Dawasa Simtank
Inatolewa na Dawasco house,Maji-Umma
Haya ni Matenki ya kuhifadhi maji pindi kunapokua na uhaba au changamoto za maji zinazotokea kwa dharura fulani kwa sababu za maboresho. Matenki haya ni vyombo muhimu vinavyosaidia jamii kuweka benki ya maji ya kutosha katika matumizi anuai. Matenki haya yanapatikana kwenye maduka yote ya vifaa vya mabomba au Hardware.