Vifurushi vya airtel
Inatolewa na Mtandao wa Airtel Tanzania
Hii ni bidhaa ambapo wateja wanaweza kutumia Kifurushi kupiga simu, kutumia internet na kutuma SMS. Kujua salio, mteja atapiga *149*99# kisha chagua “Salio” - Huduma ya intaneti ikiisha au kumalizika muda wake mteja atachagua kununua Kifurushi mpya au kutozwa gharama ya kawaida