Vifurushi vya Jumbe Fupi (SMS)
Inatolewa na Mtandao Halotel Tanzania
Vifurushi vya Jumbe Fupi (SMS) vya Halotel Tanzania ni huduma inayowawezesha wateja kutuma jumbe fupi za maandishi (SMS) Kupitia mtandao wa Halotel au mitandao mingine nchini. Vifurushi hivi vinapatikana kwa vipindi tofauti vya matumizi, ikiwa ni vya kila siku, kila wiki, na kila mwezi, na vinawapa wateja uwezo wa kutuma jumbe nyingi kulingana na kifurushi kilichochaguliwa.