Bando za Zuku tv
Inatolewa na Zuku
Zuku TV inatoa vifurushi vinne tofauti, kila kimoja kikiwa kimeundwa kukidhi mahitaji na bajeti tofauti. Hapa tumekuletea muhtasari wa vifurushi vyote vya ZUKU: Jina la Kifurushi Chaneli za TV Stesheni za Redio Chaneli za Ndani Zuku Smart 57 23 Ndiyo Zuku Smart Plus 58 23 Ndiyo Zuku Classic 65 23 Ndiyo Zuku Premium