Huduma za Mikopo ya Kiislamu (Financing)
Inatolewa na Amana Benki
Badala ya mkopo wa kawaida, benki inatoa huduma za kifedha kwa njia ya mikataba ya kibiashara kama Murabaha (ununuzi wa bidhaa kwa makubaliano ya faida), Ijara (kukodisha mali), na Musharaka (ushirikiano wa uwekezaji).