Vyakula
Inatolewa na Shishi Food Restaurant
Shishi Food hutoa vyakula vya aina mbalimbali kama vile wali, nyama, kuku, ugali, chipsi, mchemsho, na vyakula vingine vya asili. Mgahawa huu unatoa huduma ya chakula cha aina mbalimbali kinachokidhi mahitaji ya wateja wake, huku ikizingatia ladha na mapendeleo ya kila mteja.