Mawimbi
Inatolewa na Mgahawa Peponi Beach Resort restaurant
Mkahawa wetu wa Mawimbi, under the stars, wenye mwonekano wa bahari na bougainvillea inayochanua, ndio mpangilio mzuri wa usiku wa ku date mtu wako wa karibu. Ili kuweka meza kwenye Mkahawa wa Peponi fuata kiungo kwenye bio yetu au tafadhali wasiliana nasi kupitia +254 111806722. 📷: @wherenextfamily