Elimu ya Juu
Inatolewa na University of Dar es salaam (UDSM)
Chuo kinatoa kozi za shahada ya kwanza (bachelor's), stashahada ya juu (postgraduate diploma), shahada ya uzamili (master's), na uzamivu (PhD) kwenye nyanja kama sheria, sayansi, uhandisi, biashara, elimu, lugha, siasa, na sanaa.