Airtel Master card
Inatolewa na Mtandao wa Airtel Tanzania
Fanya malipo ya bidhaa na huduma mtandaoni au kwenye vituo vya mauzo kirahisi kwa kutumia Airtel Money Mastercard. Piga *150*60#, chagua 4: Mastercard kisha chagua 1: Tengeneza kadi au pakua My Airtel App Playstore App. #AirtelMoneyMastercard.