Shahada ya Uhandisi na Teknolojia (NTA Level 7–8):
Inatolewa na Dar es Salaam Institute of Technology (DIT)
Programu kama Bachelor of Engineering katika fani mbali mbali za uhandisi; pia Bachelor of Technology katika Laboratory Sciences na Information Technology