Elimu Kamili Kuanzia Chekechea hadi Kidato cha Sita
Inatolewa na Shule ya Kimataifa ya Braeburn Dar es Salaam
Shule ina darasa za KGD na Primary (FS1–Year 6), pia Secondary (Year 7–Year 13). Wanafunzi hufanya mitihani ya Cambridge IGCSE (Year 11) na A‑Level/BTEC (Year 12–13)