Shoexpress
Inatolewa na GSM Mall
Baby Shop ni eneo maalum linalotoa bidhaa kwa ajili ya watoto wachanga na watoto wadogo. Hapa, wazazi na walezi hupata mahitaji muhimu kama nguo za watoto, viatu, vifaa vya kulalia, strollers, viti vya magari (car seats), pamoja na chupa za kunyonyeshea. Aidha, duka hili hutoa bidhaa za usafi kama diapers na wipes, sambamba na toys kwa ajili ya burudani na ukuaji wa watoto.