Ubongo Kids – Mfululizo wa Elimu kwa Watoto (STEM & Life Skills)
Inatolewa na Ubongo Kids
Katuni zinazowalenga watoto wa umri wa miaka 7–14 zikitumia hadithi za watoto wanaetatua matatizo kwa kutumia sayansi na hisabati. Pia zinaonyeshwa kupitia TV, YouTube au app za simu