Zuku Fiber Internet
Inatolewa na Zuku
Hii ni UNLIMITED internet ya fiber kutoka ZUKU. Hii unaweza kuweka nyumbani, ofisini au dukani kwako. Ukilipia kifurushi unatumia mwezi mzima bila kikomo. Zuku Satellite inakupa burudani bora na ya gharama nafuu ya Satelaiti Television moja kwa moja nyumbani kwako. Vifaa na ufundi ni bure! Maeneo ambayo ZUKU fiber imefika ●Kariakoo ●Posta ●Osterbay ●Masaki ●Msasani ●Kinondoni ●Makumbusho ●Sinza ●Mwenge ●Mikocheni ●Kawe ●Mbezi beach chini. Nipigie saivi, 0693462277. Karibuni Sana...........