Michezo ya Video (Games)
Inatolewa na Bruno Games and Movies
Burno anatoa michezo maarufu inayopendwa na wengi ikiwa ni pamoja na: FIFA Call of Duty Mortal Kombat Need for Speed Tekken Michezo hii inapatikana kwa kutumia console tofauti kama PlayStation na Xbox, na inaweza kuchezwa ndani ya kituo au kukodishwa.