Akaunti ya Biashara
Inatolewa na Benki ya CRDB
Akaunti ya Biashara ya CRDB ni akaunti mahususi ya hundi kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na wa kati wanaofanya biashara kama mtu mmoja mmoja, kampuni, Akaunti ya Hodari ni akaunti ya biashara iliyoundwa kwa wateja wa MSE chini ya sehemu ya Micro-Small Enterprises MSE. Akaunti inawezesha wateja wote rasmi na wasio rasmi kukua kama watu binafsi na / au Biashara. au vikundi vilivyosajiliwa. Akaunti hii husaidia wateja wetu kuweka akiba zao za biashara na kufanya miamala ya kibiashara kwa unafuu.