Ushauri wa Kisheria wa Kibiashara (Commercial Legal Advisory)
Inatolewa na East African Law Chambers (EALC)
EALC hutoa ushauri wa kina kuhusu biashara, wawekezaji, usajili wa kampuni, muundo wa biashara, usimamizi wa rasilimali na mikataba mbalimbali ya biashara.