Kadi ya Equity Bank
Inatolewa na Equity Benki (Tanzania)
Kadi yako ya Equity Bank inaweza kufanya maajabu kama kukupa punguzo la 10%! ?kwenye shopping yako ukiwa mahali popote. Kupata Punguzo, lipia bidhaa zako kwa Kadi yako kupitia Equity POS. *Vigezo na masharti kuzingatiwa. Equity Visa Card inakurahisishia kufanya malipo ya bidhaa au huduma mtandaoni na katika vituo vya mauzo kwa haraka na usalama zaidi bila makato ya ziada. Tembelea tawi letu lolote lililopo karibu yako kujipatia kadi yako.