Bondi Yangu

Inatolewa na Azania Benki
Empty Star Empty Star Empty Star Empty Star Empty Star 0/5.0 - Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Bondi Yangu

Inatolewa na Azania Benki

Azania Benki wanaweza kufungua akaunti mbalimbali za akiba kwa ajili ya biashara, watoto na wanafunzi. Inatoa bidhaa nyingi za mikopo, kama mikopo ya biashara na nyumba. Pia inafanya uhamisho wa fedha za ndani na za kimataifa kupitia TISS, Telegraphic, Western Union, Africash na Money Gram. Pia inatoa riba nzuri kwa amana zinazowekwa na wateja. Azania Bank Limited ni benki ya kibiashara inayotoa huduma mbalimbali za kibenki ambapo wateja wetu wanaweza kufungua akaunti binafsi na za kibiashara..

Do you think there's a problem with this review?

You can use this reporting if you're a consumer

Want to report this review?

Please choose a reason

Birthday:

Login Info: